Jamii ya Tanzania ambayo marehemu 'huoa na kujaliwa watoto'. - kira siku

Breaking

RECENT POST

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, 28 February 2017

Jamii ya Tanzania ambayo marehemu 'huoa na kujaliwa watoto'.

Bara la Afrika husifika kwa utajiri wa tamaduni mbalimbali, zipo tamaduni za kufanana baina ya makabila lakini pia kuna tamaduni za kushangaza na kukuacha mdomo wazi.

Je, umewahi kusikia marehemu kutafutiwa mchumba na kuoa? Basi huo ni moja ya utaratibu katika baadhi ya koo za jamii ya Wakuria nchini Tanzania.

Marehemu anaoa vipi? Munira Hussein anaarifu zaidi.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages