Mohammed Ali wa Jicho Pevu Aastaafu Kufanya Habari za Uchunguzi na Kufichua Maovu.. - kira siku

Breaking

RECENT POST

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, 6 March 2017

Mohammed Ali wa Jicho Pevu Aastaafu Kufanya Habari za Uchunguzi na Kufichua Maovu..

Mwandishi Mahiri wa Habari za Uchunguzi, MohammedAli anayefahamika kwa Makala za Jicho Pevu ametangaza kujiuzulu kutoka taaluma ya kufichua maovu ya kiutawala na jamii na kujiunga na siasa.

Mohammed katika mtandao wake wa Twitter ameandika "Kwa miaka 10 mfululizo nimekuwa nikisimama nanyi kuzidisha sauti zenu za kuangaishwa.

Sasa ni wakati wangu wa kuwauliza, msimame nami katika harakati zangu za kuwania ubunge wa Nyali kwa tiketi ya ODM".

Ameahidi kuwa akitimiza ndoto hiyo atakuwa mshirikishi mkuu wa utawala wa haki kwa Wakenya wote bila ubaguzi.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages